SERIKALI Kuajiri Watumishi Wapya 46000 Kada ya Elimu na Afya 2024
SERIKALI Kuajiri Watumishi Wapya 46000 Kada ya Elimu na Afya 2024
SERIKALI Kuajiri Watumishi Wapya 46000 Kada ya Elimu na Afya 2024, SERIKALI yatangaza Ajira Mpya 46000 April 2024, Serikali yatangaza Ajira za Walimu 12000 April 2024, Serikali yatangaza Ajira za Afya 10000 April 2024,Serikali yatangaza Ajira za Watendaji wa Vijiji 9000 April 2024,New 46000 Jobs at Government 2024,Ajira Mpya 46000 Serikalini 2024.
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora inatarajia Kuajiri Watumiaji wapya 46,000 Katika Kada ya Elimu, Afya na kada nyingine kabla ya mwezi juni baada ya Rais kutoa kibali hicho juzi April 16,2024.
Taarifa hiyo imetolewa bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene katika kipindi cha maswali na majibu kwa Ofisi ya Rais TAMISEMI wakati akijibu swali la mbunge wa Viti Maalum Bernadeta Mushashu aliyetaka kujua serikali inampango gani wa kupeleka walimu katika shule za msingi na sekondari.
“Rais ametoa kibali cha kuajiri watumishi 46,000 na katika idadi hiyo kibali cha ajira ya walimu ni 12,000 na Ajira ya Afya ni Zaidi ya 10,000 na Imani yangu kwa kushirikiana na wenzetu wa TAMISEMI tutahakikisha upungufu wa walimu kwenye maeneo yetu tutakwenda kwenye maeneo yenye upungufu mkubwa na tunafikiria kuwa na utaratibu mpya wa kuajiri kupitia kwenye mikoa yetu na katika kuzingatia maoni ya wabunge” George Simbachawene.
Waziri Simbachawene amesema kuwa nafasi hizo 12,000 ni kwaajili ya sekta ya Elimu na zaidi ya 10,000 ni kwa upande wa kada ya Afya, fursa hizo zitapunguza kwa kiasi kikubwa changamoto ya Watumishi kama zilivyotolewa na Wabunge.
Akiwasilisha makadirio ya wizara ya OR-TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Wizara hiyo itawezesha upatikanaji wa watumishi 400 wa Mkataba watakaofanya kazi katika vituo vya kutolea huduma za Afya, kulipa mishahara kwa watumishi 400 watakaoajiriwa.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amesema kuwa kwa mwaka 2023/24 serikali ilitoa nafasi za Ajira kada ya walimu 10,505 huku kwa mwaka 2024/25, inatarajia kutoa ajira mpya kwa walimu 10,590 ili kutatua kwa kiwango kikubwa kero zilizopo katika eneo hilo.
Naibu Spika, Mussa Zungu, ameitaka Serikali wakati wa kutoa fursa hizo za Ajira kutoa Ajira kwa walimu wanaojitolea kwa zaidi ya miaka mitatu hadi minne kwa kuwa wameonesha moyo wa kuisaidia Serikali kwa muda mrefu.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania April 03-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Ajira Mpya 46000 Serikalini 2024, Ajira portal, Ajira portal login, Ajira portal news, ajira za walimu 2024 2025, New 46000 Jobs at Government 2024, SERIKALI Kuajiri Watumishi Wapya 46000 Kada ya Elimu na Afya 2024, SERIKALI yatangaza Ajira Mpya 46000 April 2024, Serikali yatangaza Ajira za Afya 10000 April 2024, Serikali yatangaza Ajira za Walimu 12000 April 2024, Serikali yatangaza Ajira za Watendaji wa Vijiji 9000 April 2024, TAMISEMI Ajira za Afya, TAMISEMI Ajira za walimu, TAMISEMI news today ajira, TAMISEMI News today Ajira 2024, TAMISEMI News today Uhamisho., Tangazo la Ajira za Walimu 2024, Tangazo LA Ajira za Walimu 2024 PDF, Wizara ya Afya Ajira
Kuomba nafasi ya ajira ya ualimu ngaz ya cheti
kuomba nafasi ya ajira ya utendaji ngazi ya cheti
Samahan we meshamba
Kuomba ajira ngazi ya certificate
nice