SIMBA na Azam Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024
SIMBA na Azam Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024
SIMBA na Azam Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024, Simba na Azam FC Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024, Simba na Azam kuvaana Ligi ya Muungano Zanzibar 2024.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa pamoja, wametangaza kurejea tena kwa Kombe la Muungano baada ya miaka 20 kupita.
Kipekee kabisa Kombe hilo limerejea rasmi katika wakati ambao, Taifa linasherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wetu.
Timu za Simba SC na Azam FC kutoka Tanzania Bara, zitashiriki katika Mashindano hayo ya mwaka huu yenye sura ya Uzinduzi wa Kombe hilo, huku kwa upande wa Visiwani timu shiriki ni Mabingwa wa Zanzibar, KMKM pamoja na KVZ FC.
Mechi hizo zitachezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kuanzia Aprili 23.
TFF na ZFF wamewaomba Watanzania wote kushirikiana ili kufanikisha mashindano haya kwa ufanisi na ubora wa hali ya juu.
Akizungumza awali, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), Hussein Ahmada Vuai, alisema kuwa kwa kuanzia watakuwa na timu nne, mbili kutoka Tanzania Bara na mbili kutoka Zanzibar.
“Ni kweli Kombe la Muungano limerejea na kuanzia tutaanza na klabu nne, mbili kutoka Tanzania Bara na mbili kutoka visiwani Zanzibar,” alisema Vuai.
Aidha alizitaja klabu hizo kuwa ni Simba na Azam FC kwa Tanzania Bara na KMKM na KVZ kwa upande wa Zanzibar.
Hata hivyo, alisema kuwa kwa msimu huu wameanza na timu hizo, lakini mwakani wanatarajia kuongeza timu na kufikia nane, ambapo kila upande utatoa timu nne.
Hata hivyo alisema timu hizo zitacheza kwa mtindo wa mtaoano na Fainali itachezwa siku ya kilele cha sherehe za Muungano April 26 mwaka huu.
About Zanzibar Football Federation
The Zanzibar Football Federation (ZFF) (previously known as Zanzibar Football Association) (Swahili: Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar) is the governing football Federation for Zanzibar, Africa.
The ZFA were an associate member of the African governing body, the Confederation of African Football. Following a rejection from FIFA in 2005,[2] the ZFA were removed from CAF and after much lobbying were reinstated as an associate member.
This meant that the club sides associated with the ZFA can participate in the continental club competitions organised by CAF but the Zanzibar national team could not. The ZFA are not entitled to vote in CAF affairs due to their associate member status. Players from Zanzibar are eligible to play in international competition for the Tanzania team, the representative of the sovereign territory.
As a nation state, it has competed in regional competitions since 1949. It currently competes in CECAFA organised tournaments.
The ZFA was admitted as a full member of the CAF in March 2017but lost membership four months later.
In March 2017, the Zanzibar Football Association voted on whether to change their name to Zanzibar Football Federation, which succeeded.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania March 06-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report OnlineÂ
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TVÂ
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu TanzaniaÂ
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Simba na Azam FC Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024, SIMBA na Azam Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024, Simba na Azam kuvaana Ligi ya Muungano Zanzibar 2024.