MAJINA ya Nyongeza Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI April 21-2024
MAJINA ya Nyongeza Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI April 21-2024
MAJINA ya Nyongeza Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI April 21-2024, Kuitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo April 21-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo April 21-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA MAJINA YA NYONGEZA 21-04-2024.
- MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 19-2024
- NAFASI za Watendaji na Waandishi Tume ya Uchaguzi NEC 2024
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23-04-2024 hadi 07-05-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
- Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI
- Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
- Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
- Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
- MFANO wa Barua ya Kuomba kazi NEC
Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.
KUONA MAJINA YA NYONGEZA WALIOITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 21-04-2024 DONWLOAD PDF DOCUMENT HAPA
Waombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.
Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako. Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.
Mwongozo wa Mabadiliko Katika Matumizi ya Mfumo wa Maombi ya KaziRecruitment Portal User Guide v 2.1
NB: MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI MASHARTI YA JUMLA
- Waombaji wote lazima wawe Raia wa Tanzania na wasiozidi umri wa miaka 45, hata hivyo, wanapaswa kuzingatia ukomo wa umri kwa kila nafasi inapoonyeshwa.
- Waombaji lazima waambatanishe na wasifu wa sasa wa Curriculum Vitae (CV) yenye mawasiliano ya kuaminika, anwani ya posta, barua pepe na nambari za simu.
- Waombaji wanapaswa kuomba kwa nguvu ya habari iliyotolewa katika tangazo.
- Cheo cha nafasi na taasisi iliyoombewa kiandikwe katika mada ya barua ya maombi; fupi ambayo itafanya maombi kuwa batili.
- Waombaji lazima waambatishe nakala zao za kina zilizoidhinishwa za vyeti vya Taaluma: – Astashahada/Shahada/Stashahada ya Juu/Diploma/Vyeti. – Nakala za Uzamili/Shahada/Stashahada ya Juu/Diploma. – Vyeti vya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha IV na
- Cheti cha Kompyuta – Vyeti vya taaluma kutoka bodi husika – Picha moja ya pasipoti ya hivi karibuni na cheti cha kuzaliwa.
- SLIPS ZA MATOKEO YA KIDATO CHA IV NA VI HAZIKUBALIKI KABISA vii. Ushuhuda, Nakala Sehemu na hati za matokeo HAZITAKUBALIWA.
- Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi vya kitaaluma na taarifa nyingine katika CV itahitaji kuchukuliwa hatua za kisheria
- Waombaji wa nafasi za juu walioajiriwa sasa katika utumishi wa umma wanapaswa kupeleka barua zao za maombi kupitia kwa waajiri wao.
- Waombaji wa ngazi za kujiunga walioajiriwa sasa katika Utumishi wa Umma wasitume maombi, wanatakiwa kuzingatia Waraka Na. CAC. 45/257/01/D/140 ya tarehe 30 Novemba 2010.
- Waombaji ambao wamestaafu/wamestaafu Utumishi wa Umma kwa sababu yoyote ile wasitume maombi.
- Waombaji wanapaswa kuonyesha waamuzi watatu wanaojulikana na mawasiliano yao ya kuaminika.
- Vyeti vya mitihani ya nje ya elimu ya kawaida au ya juu vithibitishwe na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA)
- Vyeti vya Vyuo Vikuu vya nje vinapaswa kuthibitishwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)
- Waombaji wenye mahitaji maalum/kesi (ulemavu) wanatakiwa kuonesha.
- Wanawake wanahimizwa sana kuomba.
- Barua za maombi ziandikwe kwa Kiingereza au Kiswahili.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania April 03-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Kuitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo April 21-2024, MAJINA ya Nyongeza Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI April 21-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo April 21-2024, TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA MAJINA YA NYONGEZA 21-04-2024.